Afande Lyrics by Dogo Paten and Zuchu | Full official mp3 lyrics

30
Views

Zuchu Lyrics

After much teasing and buzz on social media, Afande by Dogo Patten and Zuchu has finally dropped and fans are loving it.

READ ALSO: Hallelujah Lyrics by Gyakie

Read and enjoy Afande Lyrics by Dogo Paten and Zuchu below:

Oya Pabloo utaua utaua

Ibilisi alinipanda sa ningefanya nini

Nilijikuta najitetea sababu na panga kiunoni

Ila afande sio lwamba nauza mi mwenyewe nauziwa

Ile kesi ya robbery afande nimesingiziwa

Afande niligezee kamba ili niweze kukupanga afande

Yote sababu mchumba ndio mana mi naiba afande

Afande niligezee kamba ili niweze kupanga afande

Yote sababu mchumba ndio mana mi naiba afande

Aya weee Aya weee

Zuu chuu chu chu

Hiyo mideeni mideni ndo inafanya mi nakesha lokesheni

Afande niache chee chee chee niacheni

Nkadange nipe nba ntawatumieni

Ila tuongee ukweli afande una Shingapi

Kama una bukubilo nkpe buku mi nabaki

Kibaharia wawili afu nna kula bati

Mbona utanisitili sina mia sina gachi afande

Afande niligezee kamba ili niweze kukupanga afande

Au niwe wako mchumba ndio mana mi naiba afande

Afande niligezee kamba ili niweze kupanga afande

Yote sababu mchumba ndio mana mi naiba afande

We masha love bado hajajua singeli inachezwaje

Na khadija kopa bado hajajua singeli inachwezaje

Nana mapozi bado hajajua singeli inachezwaje

Mariam Saula bado hajajua singeli inachwezaje